Kwa anaejua kuhusu hizi mambo za BIASHARA YA MTANDAONI anieleweshe

Samboko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2011
Posts
5,420
Reaction score
7,788
Kuna jamaa yangu aliniambia kuna biashara nzuri nataka nikuunganishe upate hela bila kutumia nguvu nyingi, na wala hutumii ela nyingi,
Nikimuuliza biashara gani hasemi, siku akaniambia kama una mda njoo maeneo ya sinza kwa remy nikipeleke kwenye mchongo wa ela,

Nikafika pale kanielekeza alipo tukaonana kanipeleka nyumba moja tukaingia, nikaambiwa nikae mapokezi pale kuchungulia kuta za mle ndani naona mipicha ya watu wanapiga picha na magari, nyumba na mavitu kibao nkawa nahisi kinachoendelea,

Wakaja watano na jamaa yangu wa sita wanakaribisha kwa mbwembwe hao!!
Wakajitambulisha pale kisha nikaelekezwa chumba cha semina, kaja jamaa yangu na mtoa semina akaanza ngonjera zake, mara taasisi yao wana bidhaa ambazo huwezi pata popote duniani, wakati fb naona zinatangazwa(nilijua baada ya kuonyeshwa picha)
Wakasema ukinunua bidhaa 1 unakua umejiunga nao, nkawaambia sawa huku akilini najiambia wahakikishe tu hiyo bidhaa haizidi laki 3 ndio niliyokua tayari kupoteza, kumbe baada ya hapo unatakiwa na wewe ushawishi watu wawili wajiunge na wakijiunga unapata dola 250, na mtandao unavyokua ela inaongezeka (hapa nkahisi na ela yangu itakua imerudi, nitakula faida tuu)
Sasa kasheshe bei ya bidhaa sasa! Ya bei rahisi yenye sifa ya kukufanya uwe mwanachama sio chini ya milion 6, nilichoka nkawaambia narudi baada ya mwaka mpya nijiunge nao,
Sasa wakuu kama wapo humu wanaoijua hiyo biashara je ni kweli inalipa? Au ni kama kamari tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inalipa kulingana na bidii yako.Ukiweza kuingiza watu 2 chini yako na wale wa chini yako wakaendeleza kuingiza watu ndio utakavyozidi kupata hela.Kiufupi kuna watu wako vzr sana kutokana na hiyo biashara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jamaa yangu aliniambia kuna biashara nzuri nataka nikuunganishe upate hela bila kutumia nguvu nyingi, na wala hutumii ela nyingi,
Nikimuuliza biashara gani hasemi, siku akaniambia kama una mda njoo maeneo ya sinza kwa remy nikipeleke kwenye mchongo wa ela,

Nikafika pale kanielekeza alipo tukaonana kanipeleka nyumba moja tukaingia, nikaambiwa nikae mapokezi pale kuchungulia kuta za mle ndani naona mipicha ya watu wanapiga picha na magari, nyumba na mavitu kibao nkawa nahisi kinachoendelea,

Wakaja watano na jamaa yangu wa sita wanakaribisha kwa mbwembwe hao!!
Wakajitambulisha pale kisha nikaelekezwa chumba cha semina, kaja jamaa yangu na mtoa semina akaanza ngonjera zake, mara taasisi yao wana bidhaa ambazo huwezi pata popote duniani, wakati fb naona zinatangazwa(nilijua baada ya kuonyeshwa picha)
Wakasema ukinunua bidhaa 1 unakua umejiunga nao, nkawaambia sawa huku akilini najiambia wahakikishe tu hiyo bidhaa haizidi laki 3 ndio niliyokua tayari kupoteza, kumbe baada ya hapo unatakiwa na wewe ushawishi watu wawili wajiunge na wakijiunga unapata dola 250, na mtandao unavyokua ela inaongezeka (hapa nkahisi na ela yangu itakua imerudi, nitakula faida tuu)
Sasa kasheshe bei ya bidhaa sasa! Ya bei rahisi yenye sifa ya kukufanya uwe mwanachama sio chini ya milion 6, nilichoka nkawaambia narudi baada ya mwaka mpya nijiunge nao,
Sasa wakuu kama wapo humu wanaoijua hiyo biashara je ni kweli inalipa? Au ni kama kamari tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bila shaka ni Qnet.
Mbona umesahau good morning ni moja ya mbwembwe wanazotumia

Hao ni wazee wa goodmorning a.k.a qnet

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom