eleven-eleven
Member
- Sep 9, 2024
- 6
- 8
Kwa mwanza hicho ni kiwanja cha kugombania kabisaMkuu ni kiwanja au mlima?
Hapa ni karibu na Chamwino sio??😃
Milima kwa huko ndio viwanja vyenyewe.Mkuu ni kiwanja au mlima?
Milima kwa huko ndio viwanja vyenyewe.
Unabisha kitu gani Mwanza nimeishi sio kufika tu.Si kweli mkuu. Ushawahi kufika Mwanza?
Unabisha kitu gani Mwanza nimeishi sio kufika tu.
Hakuna watu Mwanza wanaojenga kwenye miinuko? sijui unabisha kitu gani? unajiona Mwanza unaifahamu peke yako."Milima kwa huko ndio viwanja"yaani mtu ambaye hajafika Mwanza anaweza dhani mwanza nzima ni milima. Acha kupotosha mkuu. Kuna viwanja vya milimani na viwanja tambarare. Ni wewe na uchumi wako tu
Mwanza sehemu tambarare ni chache sana kuliko miinuko ndio kina kajamba nani wamejazana huko."Milima kwa huko ndio viwanja"yaani mtu ambaye hajafika Mwanza anaweza dhani mwanza nzima ni milima. Acha kupotosha mkuu. Kuna viwanja vya milimani na viwanja tambarare. Ni wewe na uchumi wako tu
Mwanza sehemu tambarare ni chache sana kuliko miinuko ndio kina kajamba nani wamejazana huko.
Huko ni vichuguu tu vimejaa.Acha uongo wewe. Labda kama mwenyeji wako aliishi milimani. Ushafika milimani capri point au isamilo ya matajiri mkuu usikariri na kudanganya watu. Ukirudi tembea uone anzia buswelu,kishiri,nyanshihi usagara