Kwa anaejua mkataba was ujenzi was reli

Kwa anaejua mkataba was ujenzi was reli

milkman

Member
Joined
Sep 22, 2019
Posts
64
Reaction score
33
Kwanza wakuu poleni na majukumu ya kutwa mzima.nijielekeze mojakwamoja katika hoja yangu hawa jamaa wajenzi wa reli yetu ya mwendo kasi ,sielewi kwani kampuni nyingi za ujenzi zinakuja tunazioma asilimia kubwa madereva wa mitambo huwa watanzania wenzetu sasa hawa mbona wao ndio waendesha mitambo hii imekaaje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeshavurugwa tayari. Wrong jukwaa.
Hili jukwaa la kutafuta mpenzi
Peleka jukwaa la Siasa
 
Kwanza wakuu poleni na majukumu ya kutwa mzima.nijielekeze mojakwamoja katika hoja yangu hawa jamaa wajenzi wa reli yetu ya mwendo kasi ,sielewi kwani kampuni nyingi za ujenzi zinakuja tunazioma asilimia kubwa madereva wa mitambo huwa watanzania wenzetu sasa hawa mbona wao ndio waendesha mitambo hii imekaaje.

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu vipi unalitendea haki ili jukwaa au
 
Weka wazi unataka uelezwe kuhusu nini!
 
Back
Top Bottom