Kwa anaejua tiba ya hii kitu tafadhali.......!!!!!!

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
70,916
Reaction score
141,437
Nawasalimu wote.....!!!!

naulizia chanzo na tiba ya jipu, mbali na kupasuliwa kuna tiba yoyote mbadala?
mwenye kujua hilo naomba anisaidie!!!
 
ok pole eve, mara nyingi jipo usababishwa na bacteria kwa hiyo ukitumia antibiotic apropriate inapona.
Tumia cloxacillin 500mg bd kwa siku saba
 
ok pole eve, mara nyingi jipo usababishwa na bacteria kwa hiyo ukitumia antibiotic apropriate inapona.Tumia cloxacillin 500mg bd kwa siku saba
dawa inaweza kutibu nyama ya mwili iliyooza badala ya kuiondoa/operation ndogo? au hujui jipu ni nini.
 
ok pole eve, mara nyingi jipo usababishwa na bacteria kwa hiyo ukitumia antibiotic apropriate inapona.
Tumia cloxacillin 500mg bd kwa siku saba

Thanks, nishameza ampiclox tangu kinaanza lakini hata hakijaisha tu!!!!
 
Nijuavyo mm dawa ya jipu ni kulikamua tu lakin hyo ya kumeza dawa mh!.....cjui lakin labda ndo mambo ya DIGITAL
 
Tumia dawa mara baada ya kupasuliwa na kutoa uchafu(usaha)..Dawa pekee haitasaidia katika kusafisha jipu.Pole.

Ahsante, yani huko kupasuliwa ndo naogopa nlidhani kuna tiba mbadala ya kukausha kikiwa bado kidogo.....
 
Nijuavyo mm dawa ya jipu ni kulikamua tu lakin hyo ya kumeza dawa mh!.....cjui lakin labda ndo mambo ya DIGITAL

mmmh haya ahsante yani naogopa kukamuliwa!!!!
 
Ahsante, yani huko kupasuliwa ndo naogopa nlidhani kuna tiba mbadala ya kukausha kikiwa bado kidogo.....
wakati tunakuwa tulikuwa tunatumia mafuta ya taa kupaka eneo husika kulingana na stage ya jipu,kupasua ni solution pia,pole sana..
 
Elimu kitaa-Ukiona umezungurukaaaaa,halijapona,nenda ANGAZA
 
Tiba kamili ya jipu ni kulitumbua ili kutoa usaha na taka taka nyingine zilizopo. Usaha ni mchanganyiko wa chembe hai zilizokufa baada ya kushambuliwa na baceria. Usaha ni sawa na maji taka mwilini mwako na dawa yake ni kuyaondoa. Antibiotics kama wataalam walivyosema zinasaidia kuua bacteria kwa haraka na kusaidia kupona kwa haraka mara baada ya kutumbua.
 
Nawasalimu wote.....!!!!

naulizia chanzo na tiba ya jipu, mbali na kupasuliwa kuna tiba yoyote mbadala?
mwenye kujua hilo naomba anisaidie!!!

Unamaanisha
Jipu jipu au Jipu mimba?

Bazazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…