Kwa anaejua tiba ya hii kitu tafadhali.......!!!!!!

Kwa anaejua tiba ya hii kitu tafadhali.......!!!!!!

Majipu yako ya aina mbili kuna deepsited abscec na superficial absce kwa sababu sikuoni chakufanya Pasua jipu kwanza tena unahakikisha umechimbua ndani then usafishe na less concetrate iodine ndipo utumie antbiotic na pain kiler
 
nilipokuwa kijana mdogo tulikuwa tunapewa dawa ya kuharisha kila baada ya muda ili kusafisha tumbo, dawa tuliyotukitumia kulikuwa na kamti kadogo na majani yake mapana na yapo rahisi kukatika yalikuwa yakiwekwa kwenye taa kupata moto halafu unafungwa kwenye jipu na dawa nyengine ni tambuu ikiekwa karibu ya moto ikipata moto unaekewa kwenye jipu kila siku mpaka jipu linapotea hizo dawa za kijijini sie analog sijui nyie digital mutatumia nini
 
Back
Top Bottom