Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Nyerere alisema muafrika anataka mambo 3naona wabongo vichwa vyetu ni sifuri hatujali kuhusu maisha ya baadae na kizazi chetu,what we look for enternment simba yanga,mabishano ya kiimani na kisiasa,vichekesho na kudanganywa sioni watu wakichukulia serious mambo ya siasa na maisha yao.
Walaumiwe CCM tunaona wabongo vichwa vyetu ni sifuri hatujali kuhusu maisha ya baadae na kizazi chetu,what we look for enternment simba yanga,mabishano ya kiimani na kisiasa,vichekesho na kudanganywa sioni watu wakichukulia serious mambo ya siasa na maisha yao.
watanzania tunataka"MITUNGI,BLANT na MIKASI"naona wabongo vichwa vyetu ni sifuri hatujali kuhusu maisha ya baadae na kizazi chetu,what we look for enternment simba yanga,mabishano ya kiimani na kisiasa,vichekesho na kudanganywa sioni watu wakichukulia serious mambo ya siasa na maisha yao.