The Valiant
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,826
- 3,947
watu wenye akili wanaona fursa kupitia changamoto zilizopo/wanazokutana nazoItakua ninazo kweli eeh... kuna mtu kaniambia hivyo jana nikajua anantania..
Njoo bhana ni dawa tu mkuuAkuuu
Kamata fursa mkuu!Huo mfano naomba uwe kweli kuwa ni single na mimi kwa mfano ndio nakupata.
Kwa wenzetu instituition kama hizi zipo...Kwani danguro si watu wanaitumia kulalana? Hii inawakutanisha kulalana juu yao
Kumbe unatakaje mkuu?Dawa ghetto mkuu?
Umeanza wakati ni mfano huo[emoji23] [emoji23]Kamata fursa mkuu!
Kwahiyo ni ngumu eeh kuwepo?Kwa wenzetu instituition kama hizi zipo...
Ndiyo maana wana, open relationships, long term na short term relationships, wana friendships only na just dating na wanaelewana vizuri sana...
Kwa Tanzania hakuna kitu kama hicho.. The minute you agree to meet, ni kuwaziana ngono...
Cc: mahondaw
Mifano mingine ina uhalisia ujue!Umeanza wakati ni mfano huo[emoji23] [emoji23]
Na wewe na mifano yako[emoji125] [emoji125]
PoaTuanzishe mkuu...italipa hatari
Kuifanya iwe danguro nadhani sio malengo ya founder wa hio taasisi.