Kwa anaejua

Kwa anaejua

Kwann ww usianzishe hio k2
Capital mkuu, sababu nilivyoonaga kwa wenzetu kupitia movie huwa wanawakutanisha kwa kuandaa wao location and office kulipia nako mtihani
 
Capital mkuu, sababu nilivyoonaga kwa wenzetu kupitia movie huwa wanawakutanisha kwa kuandaa wao location and office kulipia nako mtihani
Hilo ndo tatzo letu ss waafrica ww tafuta kwanza wadada kadhaa kama 10 walio single then tafuta wakaka kama 15 walio single then uanzie hapo
 
Asante mkuu.. umeniongezea kitu. Sema naonaga kwenye movie tu hizo vitu halafu kibongo bongo watu wanaweza kweli kulipia wapate wapenzi?
Hapa bongo nina mashaka kama italeta manufaa kusudiwa zaidi ya kuwa chambo rahisi cha kunasa wa dada kwa burudani tu.
Huko kwa wenzetu interaction ni very limited, na sheria za uzalilishaji ni strict balaa. Ktk mazingira haya kampuni kama hizo ni muhimu. Hapa kwetu the oposite is true
 
Hiyo ingekuwa nzuri mkuu,yani unatoa chapaa unapata mamiloo wako
 
Kwa wenzetu instituition kama hizi zipo...
Ndiyo maana wana, open relationships, long term na short term relationships, wana friendships only na just dating na wanaelewana vizuri sana...

Kwa Tanzania hakuna kitu kama hicho.. The minute you agree to meet, ni kuwaziana ngono...


Cc: mahondaw
Yaani unawaza kama mimi kabisa
 
Back
Top Bottom