Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wateja wapo ,sema hawajapata customer care tu.Tusubiri kwanza mwitikio wa watu mkuu
Hilo ndo tatzo letu ss waafrica ww tafuta kwanza wadada kadhaa kama 10 walio single then tafuta wakaka kama 15 walio single then uanzie hapoCapital mkuu, sababu nilivyoonaga kwa wenzetu kupitia movie huwa wanawakutanisha kwa kuandaa wao location and office kulipia nako mtihani
Ndiyo temporary boyfriend kwa wanawake walio single na hawahitaji mahusiano.Sasa hiyo maana ake nini?
Hapa bongo nina mashaka kama italeta manufaa kusudiwa zaidi ya kuwa chambo rahisi cha kunasa wa dada kwa burudani tu.Asante mkuu.. umeniongezea kitu. Sema naonaga kwenye movie tu hizo vitu halafu kibongo bongo watu wanaweza kweli kulipia wapate wapenzi?
Tukianzisha ndio unaangalia mwitikio sasa kitu hakipo unacheki VP? ila na amini Wateja watakuwa wengiTusubiri kwanza mwitikio wa watu mkuu
Kwani upo mkoa gani?Tusubiri kwanza mwitikio wa watu mkuu
This is my view as well
Yaani unawaza kama mimi kabisaKwa wenzetu instituition kama hizi zipo...
Ndiyo maana wana, open relationships, long term na short term relationships, wana friendships only na just dating na wanaelewana vizuri sana...
Kwa Tanzania hakuna kitu kama hicho.. The minute you agree to meet, ni kuwaziana ngono...
Cc: mahondaw
Mmh aiseeeNdiyo temporary boyfriend kwa wanawake walio single na hawahitaji mahusiano.
Ndio maana ninayo mingi ya kwako ikiwa na uhalisia itakuwa swadakta sanaMifano mingine ina uhalisia ujue!
Ohooo!Mm nipo Songwe TDM .Aisee watu wanaaza kukatisha tamaaDar mkuu...