Kwa anaejua

Niliiona hii SA.
 
Eeeeh.. asante kwa kunijuza my dear
Karibu ingawa ni tofauti kidogo na ili wazo lako, yeye yake anaiita temporary boyfriend service.

anakutext, anakupigia.....ila hamuonani....na ni huduma ya mwezi 1 nadhani.
 
Karibu ingawa ni tofauti kidogo na ili wazo lako, yeye yake anaiita temporary boyfriend service.

anakutext, anakupigia.....ila hamuonani....na ni huduma ya mwezi 1 nadhani.
Temporary kiaje?? kwamba mnaonana siku moja halafu next day kila mtu anafanya yake au?
 
swala hili kwana lazima liwe confidential sasa wengi huwa wanataka picha zao zisionekane hadharani maana wanana watachekwa, market yake ni ndogo sana, lazima watu walipie ili kuendelea kuweka tovuti hewani. wengine hawana nia njema wanasema ni wakweli wanaishia kuwaibia waliopendana na wengine kutokuwa wakweli sasa ina discourage sana watu kuwa na mitandao kama hii maana unaweza ukaambiwa unatengeneza mtandao wa kuibiana
 
Ofcoz founder atakufungua kwa nia njema kabisa... Ila binadamu watakayoitumia hiyo taasisi ndiyo shida...


Cc: mahondaw
Nadhani hilo litakuwa none of her business as long as ametekeleza objective ya taasisi yake la kuwakutanisha wale wanaotafuta wenza wa maisha.
 
Wanaounga hoja wakuje tutafutane tuyajenge tujue tunaanzia wapi,pinye nia pana njia naamini .Mzigua 90 naomba utoe mwelekeo wa hatua za mwanzo
 
Haiwekwi picha yako mtandaoni.. unapoleta request unaonyeshwa profile ya mtu ambae una requirements kama za kwako... huwezi weka mtandaoni sababu sio dating site
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…