Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Mbona kicheko maridadi sana Mzigua90Hahahaaaa
Nashukuru shemNimefurahi tu mkuu..
Yupo serious kweli au ndo mambo ya instagram?Naona kifesi kaanzisha yake huko insta na kwenye app yake.
Yupo serious mkuuYupo serious kweli au ndo mambo ya instagram?
Sio tamaduni.zetu..Hivi kwanini Tanzania hakuna kampuni zinazodeal na mambo ya relationship. Kwa mfano mimi niko single na sijioni kumpata mtu sasa naenda kwao waniunganishe na wanaume waliopo single kwenye data base ya kampuni. Au blind dates mbona hatufanyi sisi.
Siongelei kuunganisha watu na madanga hiyo ni kawaida naongelea ile relationship serious kabisa ambayo inaweza kuzaa ndoa.
Do you still need this company?Hivi kwanini Tanzania hakuna kampuni zinazodeal na mambo ya relationship. Kwa mfano mimi niko single na sijioni kumpata mtu sasa naenda kwao waniunganishe na wanaume waliopo single kwenye data base ya kampuni. Au blind dates mbona hatufanyi sisi.
Siongelei kuunganisha watu na madanga hiyo ni kawaida naongelea ile relationship serious kabisa ambayo inaweza kuzaa ndoa.