Kwa anaetaka flem ya kufanyia biashara

Kwa anaetaka flem ya kufanyia biashara

Joined
Oct 5, 2014
Posts
30
Reaction score
0
Mim ni mmiliki wa Flem ya kufanyia biashara.Ni chumba kikubwa cha kutosha na IPO mjini mbele ya Stand ya Miti mirefu Mwanza.Jengo la gorofa ila Flem IPO kwa chini na si juu.Kwa mawasiliano 0768-190006 Au 0717-190006
 
Huko shimoni nani akachimbie huko ela yake.
Nafasi nzuri ni za Mbele wala sio ndani wala shimoni pole.
 
Kwa kauli hizi inaonena marketing team yako iko weak sana...! Fukuza hao ajiri marketing team nyingine!
 
Back
Top Bottom