Imany John
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 2,935
- 1,185
TO MY WIFE;-.
1.nashukuru kwani ulinitunzia usichana wako..
2.huna tamaa ya pesa na wanaume wengne.
3.unanipenda kuliko mfano.
4.unapenda familia iwe na aman na upendo.
5.unaniheshmu na kunijali,
6. U r smart, na unajua kuhandle mambo.
7.una heshma na adabu kwa watu wote..
8.hutumii hela vibaya na unajua kutunza pesa,
9.unaniamini na kunielewa.
10.una macho mazur, sura nzur, lips nzur, matit mazur, kiuno, mapaja na miguu..
Jamani, sijaona kama wewe Vanessa.
kwani we ya kwako ipo wapi?utazunguka we!!lakin akili yako na wewe ipo hapo hapo!!!!
hauna tamaa ya pesa
5.you not gold digger
Ni kwa sababu hakuna kama smile duniani,upo peke yako tu!
1.uroho mbaya.
2.hujui kujiremba.
3.hujui kupika
4.shapeless
5.mbabe
6.mbishi wa asili
7.kikojozi
8.unawivu zaidi ya nyegere.
9.mropokaji.
10.mchoyo.
nimeipenda hii lolTO MY WIFE;-.
1.nashukuru kwani ulinitunzia usichana wako..
2.huna tamaa ya pesa na wanaume wengne.
3.unanipenda kuliko mfano.
4.unapenda familia iwe na aman na upendo.
5.unaniheshmu na kunijali,
6. U r smart, na unajua kuhandle mambo.
7.una heshma na adabu kwa watu wote..
8.hutumii hela vibaya na unajua kutunza pesa,
9.unaniamini na kunielewa.
10.una macho mazur, sura nzur, lips nzur, matit mazur, kiuno, mapaja na miguu..
Jamani, sijaona kama wewe Vanessa.
unagawa mtandao wa simu kama huna akili nzuri...ndio maana nakupenda