Kwa anaetaka kunioa

Kwa anaetaka kunioa

1 wewe mwenyewe ujiulize kwann ukaamua kutafuta mpz ukishajua lengo kuu hilo umeshajua sababu za cc kutaka kuish nawe
 
Kila kitu nyumbani kwenu unapata.Kwa nini uunataka wa kukuoa?
 
Nipe sababu 10 kwanini unadhani unataka /unatamani kuishi na mimi for the rest of your life? Why me na sio wengine? Au mjibie mpenzi wako kwa nini yeye?


Nitakupa 11:

1.Nakupenda
2. Nakupenda
3. Nakupenda
4. Nakupenda
5. Nakupenda
6. Nakupenda
7. Nakupenda
8. Nakupenda
9. Nakupenda
10. Nakupenda
11. Nakupenda

Umeridhika?
 
Hakuna sababu zaidi ya pesa nani kasema? Kuna watu wanapendana lakini wako juu ya mawe!
 
1.uroho mbaya.

2.hujui kujiremba.

3.hujui kupika

4.shapeless

5.mbabe

6.mbishi wa asili

7.kikojozi

8.unawivu zaidi ya nyegere.

9.mropokaji.

10.mchoyo.

hapo namba 8 hapooo...HUYO NYEGERE MDUDU NOMA SANA HUYO.. KAMA SHEMEJI AMA WIVU AU BIFU KAMA HUYO MDUDU KWISHA HABARI YAKOOO... ehehehehe
 
Back
Top Bottom