Kwa anaeuza Akaunti ya playstore

Sio hivo tu hawa jamaa hizi account wakizinunua wanaenda kuzitengenezea apps ambazo si nzuri kwa walaj ikiwemo app za ku iba na kaz sasa kinacho fanyika hata account ikifungwa yeye hapat hasara sana ila hasara ni kwa alie uza account manake htoweza kuja kumiliki accoun tena playstore. Unless atafte details ambazo sio zake ila waki mgundua tu waza fita accoun ndio maana hiziaccount zina uzika sana ila ukiuza jiandae kisaikolojia huto miliki tena account playstore. Hii imetoka kwa ushahid kwa mtu ninae mfaham
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…