- Thread starter
- #21
Dah watu ni wajuaji sanaYangu niliuza kwa milioni 2
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah watu ni wajuaji sanaYangu niliuza kwa milioni 2
Sio hivo tu hawa jamaa hizi account wakizinunua wanaenda kuzitengenezea apps ambazo si nzuri kwa walaj ikiwemo app za ku iba na kaz sasa kinacho fanyika hata account ikifungwa yeye hapat hasara sana ila hasara ni kwa alie uza account manake htoweza kuja kumiliki accoun tena playstore. Unless atafte details ambazo sio zake ila waki mgundua tu waza fita accoun ndio maana hiziaccount zina uzika sana ila ukiuza jiandae kisaikolojia huto miliki tena account playstore. Hii imetoka kwa ushahid kwa mtu ninae mfahamVigezo jamaa walivyoweka sasa viko tight sana kupata account ya playstore..japo ukifuata taratibu ni swala linalowezekana kabisa.
Binafsi nilipitia huo mchakato wao, verification ya address. Wakahitaji testers karibu 20 watakao test app kwa siku 24. Tutawatafuta wadau. Tukawaundia na group la whatsapp kuwahamasisha.
After 14 days za testing, wakatuachia tukawa hewani. Just follow the procedures mkuu. Lengo la kuweka mashart magumu ni kuwatetea walaji dhidi ya apps zinazowaumiza. Kama app yako imenyooka huna haja ya kunua account. Just create one.