Kwa anavyo pendwa' na kila mtanzania, Rais Samia angekuwa mkristo hali ingekuwaje?

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709
Huwa nachukia udini japo siwezi kujitenga na uwepo wa ushabiki wa kidini nchini na humu JF. Tangu apate madaraka kwa mkono wa Mungu, rais Samia anaonekana kuwaridhisha mashehe hadi wengine kama shehe mmoja kusema kuwa ni mtu bora baada ya Yesu na Muhamad.

Akiwa mwanamke, ambaye kisheria hapaswi kuwaongoa wanaume, angekuwa mkristo hali ingekuwaje kwa ndugu zetu hawa wanaomuabudia kwa sasa? Kwa ushahidi, sikiliza chawa huyu hapo chini.


Your browser is not able to display this video.
 

Attachments

  • 1745269868463.png
    471.9 KB · Views: 31
Your browser is not able to display this video.
 
Piganieni uhuru kwanza safari hii Papa Awe mtu mweusi siyo kuwa shabiki wa dini ambayo inawabagua kwa rangi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…