Kwa anaye fahamu tafadhali!

Kwa anaye fahamu tafadhali!

Sultan_mdosse

Senior Member
Joined
Nov 24, 2013
Posts
145
Reaction score
16
Wakuu!

Kuna ndugu yangu anataka kuomba Diploma ya Ualimu, anauliza watu wameshaanza kutuma maombi? Na kama wameanza mwisho ni lini?

Msaada kwa anaye jua.
 
Kwa ngazi ya diploma atapitia NACTE ila mwisho ulikuwa tarehe 16 july ila nimesikia wameongeza mda kwahiyo itakuwa mpka 2 agosti ila ngoja tusubiri waje wenye fani yao naamini watakupa information nzuri.
 
shukrani mkuu.
 
Kachelewa! Labda ajaribu chuo kilicho jiran. Wana weza kumfanyia mambo....! Siu najua tanzania yetu bwana.....!
 
Kachelewa! Labda ajaribu chuo kilicho jiran. Wana weza kumfanyia mambo....! Siu najua tanzania yetu bwana.....!

mbona nilisikia wameongeza mda mpaka 2 agosti au huo mda umeongezwa kwa ajili ya watu gani?
 
aende kwenye chuo kilicho karibu.cha msingi awe na E moja na hata kaS kaGS nako ni added advantage lakin sio lazima sana cha msingi ni kuwa na E angalau moja
 
Back
Top Bottom