Sultan_mdosse
Senior Member
- Nov 24, 2013
- 145
- 16
Kwa ngazi ya diploma atapitia NACTE ila mwisho ulikuwa tarehe 16 july ila nimesikia wameongeza mda kwahiyo itakuwa mpka 2 agosti ila ngoja tusubiri waje wenye fani yao naamini watakupa information nzuri.
Kachelewa! Labda ajaribu chuo kilicho jiran. Wana weza kumfanyia mambo....! Siu najua tanzania yetu bwana.....!
aende kwenye chuo kilicho karibu.cha msingi awe na E moja na hata kaS kaGS nako ni added advantage lakin sio lazima sana cha msingi ni kuwa na E angalau moja
Mdaa wakuomba chuo umeingezwa adi 2/8 na mkopo mwisho 30/8