Kwa anaye hitaji kitu chochote kutoka Dar kimfikie alipo

James 25th

Member
Joined
Feb 24, 2025
Posts
41
Reaction score
19
Wapendwa Habarini!!

Leo nipo mbele yenu kwa wote ambao mpo mikoani na mnauhitaji wa bidhaa au mzigo wowote kama (Sim, electronics parts eg tv/redio, spare parts za magari na n.k) chakufanya wasasiliana nami utapata gharama zote za mzigo unao uhitaji mbaka pale ulipo kwa uaminifu mkubwa.
Namba yangu ni

0714016639 call/whtsp
Email: jamesjoshuaem@gmail.com
Napatikana. DAR ES SALAAM
 
mimi nataka photocell ya solar,nipo mwanza
 
Hujatengeneza trust kwenye tangazo lako
 
Hujatengeneza trust kwenye tangazo lako
Asante sana sa7 mchana, nachoweza kusema karibu tufanye Kazi pamoja. Uhaminifu kwenye Biashara ni ubora wa bidhaa anayo hitaji Mteja + Huduma + kuafikiana/makubaliano ya kufanya Kazi.. nafikiri watu wengi uingia kwenye matatizo kwakutozingatia baadhi ya mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…