Kwa anayefahamu sifa za kujiunga na kidato cha tano mwaka huu

Kwa anayefahamu sifa za kujiunga na kidato cha tano mwaka huu

Achen kuongopeana ,lazima uwe na B moja katika combination yako ndo uende form five na usipate D,E,wala. F katika comb

Hivi utaratibu wa kuomba nafasi ya masomo ya ualimu ngazi ya cheti ukoje mwaka huu? Na deadline ya kuaply ni lini?
 
Hivi utaratibu wa kuomba nafasi ya masomo ya ualimu ngazi ya cheti ukoje mwaka huu? Na deadline ya kuaply ni lini?
 
Wakuu naomba kufahamishwa kuhusu utaratibu wa kuomba nafasi ya masomo ya ualimu ngazi ya cheti kwa mwaka huu 2014. Na pia naomba kujulishwa kuhusu utaratibu wa kutuma maombi pamoja na tarehe ya mwisho ya kuomba.
 
Soma tangazo la wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi utaelewa but mwisho wa kutuma maombi ni 30/05/2014
 
FAT RESULTS NOW! Ila nasikia kuna mabadiliko sana,sasa hebu ngoja tuvute subira tusikie wanasemaje
 
Back
Top Bottom