K kidesa Member Joined Jul 26, 2013 Posts 28 Reaction score 4 May 2, 2014 #21 adamupius said: Achen kuongopeana ,lazima uwe na B moja katika combination yako ndo uende form five na usipate D,E,wala. F katika comb Click to expand... Hivi utaratibu wa kuomba nafasi ya masomo ya ualimu ngazi ya cheti ukoje mwaka huu? Na deadline ya kuaply ni lini?
adamupius said: Achen kuongopeana ,lazima uwe na B moja katika combination yako ndo uende form five na usipate D,E,wala. F katika comb Click to expand... Hivi utaratibu wa kuomba nafasi ya masomo ya ualimu ngazi ya cheti ukoje mwaka huu? Na deadline ya kuaply ni lini?
K kidesa Member Joined Jul 26, 2013 Posts 28 Reaction score 4 May 2, 2014 #22 Hivi utaratibu wa kuomba nafasi ya masomo ya ualimu ngazi ya cheti ukoje mwaka huu? Na deadline ya kuaply ni lini?
Hivi utaratibu wa kuomba nafasi ya masomo ya ualimu ngazi ya cheti ukoje mwaka huu? Na deadline ya kuaply ni lini?
K kidesa Member Joined Jul 26, 2013 Posts 28 Reaction score 4 May 2, 2014 #23 Wakuu naomba kufahamishwa kuhusu utaratibu wa kuomba nafasi ya masomo ya ualimu ngazi ya cheti kwa mwaka huu 2014. Na pia naomba kujulishwa kuhusu utaratibu wa kutuma maombi pamoja na tarehe ya mwisho ya kuomba.
Wakuu naomba kufahamishwa kuhusu utaratibu wa kuomba nafasi ya masomo ya ualimu ngazi ya cheti kwa mwaka huu 2014. Na pia naomba kujulishwa kuhusu utaratibu wa kutuma maombi pamoja na tarehe ya mwisho ya kuomba.
A Arash charlz Member Joined Apr 23, 2014 Posts 50 Reaction score 1 May 3, 2014 #24 Soma tangazo la wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi utaelewa but mwisho wa kutuma maombi ni 30/05/2014
Soma tangazo la wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi utaelewa but mwisho wa kutuma maombi ni 30/05/2014
Hussein J Mahenga JF-Expert Member Joined Mar 5, 2012 Posts 750 Reaction score 656 May 3, 2014 #25 FAT RESULTS NOW! Ila nasikia kuna mabadiliko sana,sasa hebu ngoja tuvute subira tusikie wanasemaje