pepim JF-Expert Member Joined Aug 1, 2011 Posts 335 Reaction score 52 Jun 15, 2013 #1 Poleni na majukumu ya hapa na pale wanajf wenzangu................. Ni hivi naombeni kujuzwa gharama za usukani wa bajaji(TVS) na wapi zinapatikana kwa dar au dodoma. Vilevile mawasiliano kama yapo.
Poleni na majukumu ya hapa na pale wanajf wenzangu................. Ni hivi naombeni kujuzwa gharama za usukani wa bajaji(TVS) na wapi zinapatikana kwa dar au dodoma. Vilevile mawasiliano kama yapo.