Kwa anayefahamu tafadhali

Kwa anayefahamu tafadhali

pepim

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
335
Reaction score
52
Poleni na majukumu ya hapa na pale wanajf wenzangu.................
Ni hivi naombeni kujuzwa gharama za usukani wa bajaji(TVS) na wapi zinapatikana kwa dar au dodoma.
Vilevile mawasiliano kama yapo.
 
Back
Top Bottom