Kwa anayehitaji dada wa kazi anicheki

Ruble

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
845
Reaction score
1,579
Habarini wakubwa,

Kama kichwa kinavyojieleza. Nilikua namtafutia mtu dada wa kazi kwa bahati nzuri nikapata contacts za wadada 5 wa ziada walikua wanatafuta kazi. Kuna ambao wapo Dar na wengine mkoa.

So kama kuna mtu anahitaji anicheki PM nimuunganishe naye/nao.

ANGALIZO: Mimi sio dalali, pili masuala ya kumjua ni jukumu lako mimi ni kuwaunganisha tu, tatu utanipoza chochote kitu jamani wadada shida siku hizi, nne tuwatendee wema watoto wa watu na sio kuwatesa.
 
Wangu mimi leo anarudi kwao ni wiki 3 tu tokea aanze kazi, hela niliolipa mpaka kufika kwangu laki 2. Juzi kasema anataka kurudi kwao nikamwambia rudi hakuna tabu ila kwa harama zako mwenyewe. Hawa viumbe Mungu tu anajua yupi mwema yupi hafai tena na mshahara wake laki na kitu.



Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
ANGALIZO: La 3 V/s La 1..nani mshindi?
 
Acha zako, yani kumjua iwe jukumu langu tena?
Kama unataka kusaidia jamii tafuta watu waaminifu siyo kuleta story za mitaani. Akiniibia je? Alafu eti unataka kupozwa na chochote
 
Acha kumnyanyasa Mkuu..
 
Kama unataka chochote kitu basi tayari hata kumjua ni jukumu lako pia.
Yani ule hela ya watu, msichana wako aibe halafu wewe useme humjui. Za wapi hizo
 
Hao wa mikoani kuna aliyeko mtwara???
 
Mimi mwenyewe natafuta dada wa kazi,mweupe,mwenye umbo zuri lililonona atapewa kipaumbele.
 
Karibu tukuhudumie kufua na usafi kwa gharama ndogo Sana 0748029623
 
Kuwa specific. Kazi gani?
 
Wewe sio dalali lakini unataka upozwe na kitu chochote, acha hizo unganisha hao watzn wapate kazi.
 
Acha udomo zege shubaamit 🤣🤣🤣
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…