Kwa anayehitaji dada wa kazi anicheki

Lakin Kama mtu huwez kaa na dada wa kaz hata mwez bas ww unatatizo
Unaonekana unawatesa Zama zmebadilika
Jaman achen kuwabeba Kama watumwa
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna wanaofaa kwa kazi kwa mwanaume Bachela?
 
Hahaa, Oya chalii naona unataka mserereko wa mbususu tu [emoji23][emoji23]
 
Acha kumnyanyasa Mkuu..

Sijawahipo kunyanyasa mfanya kazi maisha yangu yote nilipo kuwa mdogo kwetu kulikuwa na wafanyakazi 3. Walipunguzwa mpaka alibaki mmoja tu, huyu mmoja alikuwa kama mzee wetu hatu kumuangalia kama mfanyakazi. Sasa huyu wangu mimi alie mleta kwanza kanitapeli wala sijajali ila hata mwezi hakufikisha anataka kuondoka kwanini niharamie mimi tena harama zake. Nje ya makubaliano ya mkataba


Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Mkuu naomba nchekii nna shda nawo 0714244482
 
Wewe ni dalali,

Kama siyo dalali kwanini upozwe na kitu ?

Nini maana ya udalali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…