Plot4Sale Kwa anayehitaji mashamba viwanja maeneo ya Mkuranga

Plot4Sale Kwa anayehitaji mashamba viwanja maeneo ya Mkuranga

samahani kwa wale wateja wangu ambao mlinitafuta kwa simu lakini hamkunipata simu ilikata chaji na umeme haukuwepo,samahani sana ila sasa nipo hewani,karibuni sana.
 
na kwa wale wenye kuitaji maeneo ya ufukweni yani karibu na bahari maeneo yapo,kuna eneo safi la ufukweni heka tatu na nusu bei milion mia moja sabini na tano,karibuni
 
wale wa mashamba ya laki tano pia nanyi karibuni,kata ya mkamba wilaya ya mkuranga utapata maeneo safi.
 
Kaka vipi naweza kupata shamba mkuranga wasiliana na mimi kana unalo 0715147760
 
Back
Top Bottom