JONATHAN KAMWAVAH'S
Senior Member
- Oct 9, 2012
- 184
- 24
- Thread starter
-
- #21
Hayo mashamba ya laki tano barabara ipo?wale wa mashamba ya laki tano pia nanyi karibuni,kata ya mkamba wilaya ya mkuranga utapata maeneo safi.
Huyu jamaa mwisho kuingia jf ilikuwa 2014 sijui kama bado anapita kama guest humu au ana acc.mpyaJonathan contact with me
Shamba pori la laki 7 liko Mkuranga ipi?shamba karibu na barabara milioni mbili na nusu,mbali kidogo milioni moja na nusu shamba poli laki saba,0719450426 karibu