Kwa anayehitaji mtaalam wa mitandao ya kijamii na graphics

Kwa anayehitaji mtaalam wa mitandao ya kijamii na graphics

sixotolo

New Member
Joined
May 21, 2024
Posts
4
Reaction score
4
Kama unahitaji huduma zifuatazo nichek 0747787410 kufungua akaunt za biashara mtandaoni, kufanya matangazo mitandaoni, kurekebsha akaunt zenye matatizo na madeni, kusajil jina la biashara, lesen ya biashara na kupata vibali mbalimbali serikalin kama vile TBS, OSHA nk.
 
Hata kama umeweka namba ..kuna maswali/maelezo mengine lazima yaonekane hapa ili kumshawishi mtu akupigie.
# Mahali uliko.
# Uzoefu wako.
# Maelezo kidogo ya akaunti za biashara.
# Faida ya hiyo biashara.
# Changamoto zake..
# Kwanini wewe hufanyi mwenyewe hadi unatafuta watu..
# Makadirio ya gharama ...
# Mahitaji ya vifaa au mtaji..
 
ni kweli mkuu shukrani kwa maboresho
  • niko Dar lakin huduma unaweza kupata popote ulipo
  • Uzoefu ni zaid ya miaka 2
  • Akaunti za biashara nnazoongelea hapo ni za mitandao ya kijamii
  • Faida za kuweka biashara zako mtandaoni ni pamoja na kuongeza wigo wa wateja
  • mm nafanya pia na instagram yangu ni sixotolo
  • Gharam za huduma zinatofautiana lkn nyingi zinaanzia Tsh. 25,000
  • Mimi natoa huduma kwa wafanyabiasha wanaotaka kuweka biashara zao mtandaoni
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Back
Top Bottom