Mkuu labda hiyo VW unayozungumzia wewe ni ya homemade ;-) Mimi naendesha VW mwaka wa saba sasa, nabadilisha model kwa model na hazijanisumbua hata mara moja. Kuna wengi wananunua magari kisha Service ni pale gari inapogoma kuwaka!! Kwa mtindo huo leo hii gari ya aina yoyote ile haina ubora. Gari inataka Service either kwa kilometer ama muda na sio kuendesha tu mpaka ligome. Na pia huwezi kusema kama zinakula mafuta ama La. kwa sababu kuna version za kila class. leo hii kuna VW inakwenda 29km/liter all after the model choice na ukubwa wa ingine unayotaka. Huwezi kutaka <machinr kubwa kisha upige kelele hizi gari zinanyonya mafuta kwa fujo, hapo tusiongelee uendeshaji wa mtu.