Unajua kwa tandale bei hutegemeana na forces of demand and supply but kwa sasa usitarajie mahindi kupanda kwa kiasi hicho japo ni kweli sehemu nyingi kuna uhaba wa mahindi mwaka huu.Lakini zipo pia sehemu ambazo wamevuna vizuri kama manyara yote kwa ujumla na songea,mbeya si sana lakini pia yapo.chamsingi bei kwa kipindi hiki hua ni stable kwa kiasi fulani,jaribu kupata namba za dalali muaminifu pale tandale ili aweze kukupa updates za bei pale unapohitaji kufahamyaa ni kweli unachosema, ndio maana nikataka afafanue bei hiyo ni mahindi ya wapi?
alafu kama kupunda namna hiyo ni kipi kilichosababisha yakapanda ghafla namna hiyo ..
Je kwa wiki hii unaweza kujua yapo bei gani yamepandà tena au bado yapo bei hii hii?
najua ya popcorn 3000
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mmmh mkuu unatafuta tu mpaka huku????, mi nikajua unashindaga kwenye lile jukwaa tu.