Kwa anayejua gharama za Utrasound

Diana Bx

Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
17
Reaction score
3
Jamani kwa anayefahamu gharama ya vipimo vya utrasound kwenye hospitali za serikali anifahamishe.
Nina tatizo la mirija ya uzazi kuziba. Je! tatizo hilo atibabu yake ili kuzibua mirija ni lazima kufanyiwa upasuaji??
 
Jambo la msingi kabisa nakushauri, nenda kwa daktari wa wanawake (gynecologist) uelezee tatizo lako na umuombe akufanyie uchunguzi na akutajie vipimo vinavyohitajika kufanya ili kupata picha kamili ya status ya viungo vyako vya uzazi. Yeye ndio atakushauri kama ufanye ultra sound, au vipimo vingine (other tests)

Na ili kuwa na uhakika kama ukiwa na tatizo jaribu kupita kwa madakatari watatu hospitali tofaouti. Kumuona dokta andaa elfu 20 hadi 50 inategemea na hospitali .Nakusisitizia muone daktari na ufate ushauri wake, ultra sound nahisi wanachaji elfu 50 private.
 
Ni vyema kufika hospitali upate kwanza ushauri kabla hujakimbile aina ya vipimo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…