Jambo la msingi kabisa nakushauri, nenda kwa daktari wa wanawake (gynecologist) uelezee tatizo lako na umuombe akufanyie uchunguzi na akutajie vipimo vinavyohitajika kufanya ili kupata picha kamili ya status ya viungo vyako vya uzazi. Yeye ndio atakushauri kama ufanye ultra sound, au vipimo vingine (other tests)
Na ili kuwa na uhakika kama ukiwa na tatizo jaribu kupita kwa madakatari watatu hospitali tofaouti. Kumuona dokta andaa elfu 20 hadi 50 inategemea na hospitali .Nakusisitizia muone daktari na ufate ushauri wake, ultra sound nahisi wanachaji elfu 50 private.