DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,983
- 11,857
Heshima kwenu wakuu,
nafikiri chuo tajwa hapo juu kinajulikana na wengi kidogo ila nimeletewa swali ambalo nimeshindwa kujibu,
jamaa wameanzisha program ya uailimu ngazi ya cheti na diploma ila kozi wanazotoa kwa grade A ndizo zinazochanganya
tofauti na vyuo vingine vya ualimu hawa masomo yote ni ya kiingereza km ifuatavyo:
1.carriculum
2.science studies
3.computer
4.teaching
5.educatn foundatn
6.communicatn sklz
7.psychology
8.education media
9.citizenship
wakati vyuo vingine vya ualimu wanasoma
1.english
2.kiswahili
3.stadi za kazi
4.haiba na michezo
5.maarifa ya jamii
6.tehama
7.sayansi
8.ualimu
9.hisabati
je,hawa waTEKU wanajulikana na wizara husika na itawaajili?
Je,wakiajiliwa wanaenda kufundisha nini huko mashuleni?na ukizingatia wanaenda kufundisha kwa kiswahili hao hata kiswahili hawasomi?
KARIBUNI