mm nmemalza 4m 4 mwka 2012, nna B ya biology, B ya chemistry na C ya physics, Je chuo kipi cha afya naweza kupata nafac?, pia kwa muda huu naweza kuapply chuo na kupata?, naomba msaada wenu wanaJF.
Nenda kasome hiyo comb na utakuja kukumbuka maneno yangu. Hiyo sayansi unayopenda tafuta wenzio walioisoma halafu uangalie maisha yao: shida tupu! Katika nchi zenye uchumi duni kama ya kwetu wanaosoma sayansi wanaishia kujazwa misifa ya kijinga tu kuwa walikuwa "vipanga" nk lakini maisha yao ya baadae ni masikitiko. Kuna wachache sana wenye nafuu. Nchi ya uchumi wa udalali na uchuuzi (hakuna uzalishaji ambao ndio unaohitaji wanasayansi, wala wataalam wa tiba hawatambuliwi kila siku unasikia migomo utaishia hukohuko shauri yako). Uchumi huu wa udalali na uchuuzi unahitaji maarifa ya hiyo HGE unayokataa, hao ndio wako kwenye mabiashara, taasisi za fedha, BoT, TRA, stock markets nk na ndio wanaofaidi matunda ya nchi. Narudia, Dogo nenda form five hiyohiyo uliyopata utakuja kuyakumbuka sana maneno yangu,Advance nlikuwa napenda tena sana2, bt selection zmebadlisha dira ya maisha yangu, nimepangwa HGE, shule moja hv iko TUKUYU, ningeweza kwenda kubadlisha comb, lkn shule hiyo ina art pekee, swala la uhamisho cna referee, kwenda private sina uwezo, nikienda kusoma hiyo comb ntakuwa nadangaya Taifa coz haipo moyoni hata kodogo.
ngoja nikupe ujanja kwanza angalia matokeo ya last year acsee ya hyo shule alaf ukiona kuna matokeo ya watu walosoma comb ambayo unaitaka ukiona nenda alafu ukabadilishe comb nenda a.level acha ujinga wewe
Nenda kasome hiyo comb na utakuja kukumbuka maneno yangu. Hiyo sayansi unayopenda tafuta wenzio walioisoma halafu uangalie maisha yao: shida tupu! Katika nchi zenye uchumi duni kama ya kwetu wanaosoma sayansi wanaishia kujazwa misifa ya kijinga tu kuwa walikuwa "vipanga" nk lakini maisha yao ya baadae ni masikitiko. Kuna wachache sana wenye nafuu. Nchi ya uchumi wa udalali na uchuuzi (hakuna uzalishaji ambao ndio unaohitaji wanasayansi, wala wataalam wa tiba hawatambuliwi kila siku unasikia migomo utaishia hukohuko shauri yako). Uchumi huu wa udalali na uchuuzi unahitaji maarifa ya hiyo HGE unayokataa, hao ndio wako kwenye mabiashara, taasisi za fedha, BoT, TRA, stock markets nk na ndio wanaofaidi matunda ya nchi. Narudia, Dogo nenda form five hiyohiyo uliyopata utakuja kuyakumbuka sana maneno yangu,
nenda shule kapige kitabu,unless njoo usomee dential therapist o nursing!njoo inbox
Wengi tulikua na ndoto kama za kwako bt things went opposity chezea pcb wewe acha masihara kijana utakuja jutia
Acha uzembe ww nenda advance uhamisho unawezekana bila refaree naibu wazir wa elimu mulugo alisema uhamisho kwa kesi kama yako kama unataka kubadil comb na kwenye shule waliokuchagua haipo unaweza kuhama cha msingi wasiliana na mkuu wa shule uliochaguliwa na ambayo utataka kwenda mbona jamaa angu kafanikisha fanya hivyo bana nb.hakikisha unakamilisha ndani ya hi wiki ni hayo tu
Nenda kasome hiyo comb na utakuja kukumbuka maneno yangu. Hiyo sayansi unayopenda tafuta wenzio walioisoma halafu uangalie maisha yao: shida tupu! Katika nchi zenye uchumi duni kama ya kwetu wanaosoma sayansi wanaishia kujazwa misifa ya kijinga tu kuwa walikuwa "vipanga" nk lakini maisha yao ya baadae ni masikitiko. Kuna wachache sana wenye nafuu. Nchi ya uchumi wa udalali na uchuuzi (hakuna uzalishaji ambao ndio unaohitaji wanasayansi, wala wataalam wa tiba hawatambuliwi kila siku unasikia migomo utaishia hukohuko shauri yako). Uchumi huu wa udalali na uchuuzi unahitaji maarifa ya hiyo HGE unayokataa, hao ndio wako kwenye mabiashara, taasisi za fedha, BoT, TRA, stock markets nk na ndio wanaofaidi matunda ya nchi. Narudia, Dogo nenda form five hiyohiyo uliyopata utakuja kuyakumbuka sana maneno yangu,
Kumbe tupo wengi mimi kama wewe mkuu bio c chem c phy d engl d ila mi nimeharibu math f yani full wasiwasiUchofu kk utachaguliwa tu kikubwa ni kumuomba mungu mi mwenyewe nime aply hiyo kozi nina c ya bios,c ya chemia,d ya phys,d ya maths ila english ndo nimeharibu nina f so nina wasiwasi mkubwa cjui kama nitachaguliwa wakuu..!!
Kweli mkuu umeapply nini mkuu!2ombeni Mungu jaman.
Nitawachugua wote wawili, msiwe na wasiwasi mimi ndo mchaguzi!
2getha kk do wory about dat god iz able everythings under the sun,allmigth to our god.2ombeni Mungu jaman.