Bado hawajaja mkuu?!Kwa anaye juu utaratibu wa kuomba kazi za ufundi katika mgodi atujuze maana sisi wangine ni mafundi na nafasi wanazo tangaza dah, ni zawasomi wa kiwango cha lami, tujuzane basi na sisi mafundi tupate mchongo tule nchi[emoji41][emoji41]