Kwa anayejua jinsi ya kuomba ajira mgodini

Ty tanick

Member
Joined
Jun 18, 2021
Posts
11
Reaction score
7
Kwa anaye juu utaratibu wa kuomba kazi za ufundi katika mgodi atujuze maana sisi wangine ni mafundi na nafasi wanazo tangaza dah, ni zawasomi wa kiwango cha lami, tujuzane basi na sisi mafundi tupate mchongo tule nchi😎😎
 
Kwa anaye juu utaratibu wa kuomba kazi za ufundi katika mgodi atujuze maana sisi wangine ni mafundi na nafasi wanazo tangaza dah, ni zawasomi wa kiwango cha lami, tujuzane basi na sisi mafundi tupate mchongo tule nchi[emoji41][emoji41]
Bado hawajaja mkuu?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…