Kwa anayejua jinsi ya kushinda kamari za wachina

Mkuu

Hilo dude halitengenezi Hasara Kwa mwenyenalo.. Limepigwa codes ambazo halileti Hasara... Yan kama useme Labda Kila zikitumbukia token za laki basi licheue ef 40...means Kila laki yenu lenyew linacheua 40 kwa mkupuo...
Program lazima ziwepo Tu mkuu
 
Program lazima ziwepo Tu mkuu
Program za nini mkuu? Kumbuka hilo halizalishi pesa humo ndani ni lazima mtumbukize nyie kwanza, na mkichelewa kula mchina anapita na x- trail yake pamoja na kindoo cha lita kumi anakusanya coins zake huyo anasepa
 
Watu wanataka namna ya Ku Huck hizo mizunguruko ili wasisumbuke wawe wanajua mnyama anaefatia ni nan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…