manumba malecha
Member
- Apr 25, 2020
- 43
- 27
Program lazima ziwepo Tu mkuuMkuu
Hilo dude halitengenezi Hasara Kwa mwenyenalo.. Limepigwa codes ambazo halileti Hasara... Yan kama useme Labda Kila zikitumbukia token za laki basi licheue ef 40...means Kila laki yenu lenyew linacheua 40 kwa mkupuo...