Kwa anayejua jinsi ya kushinda kamari za wachina

Kwa anayejua jinsi ya kushinda kamari za wachina

Rajab o Rajab

Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
9
Reaction score
2
Jamani kwa anayejua namna ya kushinda Kamari za wachina BONANZA anipe maujuzi
3bb2b0403d04401fddf207b42c67abc3.jpg
 
Hizi mashine wamezifanyia setting huwa zinatoa bonus ya kushinda mara chache ila mara nyingi zinakula sana hela wenye ujuzi zaid watakuja
 
He he! nayamesambazwa hadi wenye vitambi wanacheza jamaa wamekuja kukusanya zao endapo yanalipishwa kodi lkn dah!
 
Hizo zimekuwa programmed maalum kwa ajili ya kutengeneza faida, haiwezi kukupa ushindi kabla haijamtengenezea faida boss, kwahiyo endelea kuchangia kwanza hivohivo, ukibahatisha muda ambao imeshakusanya za boss inakupa jackpot! Akili mukichwa
 
Kumbe ndo inavyokuwaga mtu anatengeneza faida yake mapema afu nyinyi ndo mje kula makombo
 
Ni mara mia ukabet, ingawaje siyajui na wala sina mpango wa kutaka kuyajua..!!
 
Jamani kwa anayejua namna ya kushinda Kamari za wachina BONANZA anipe maujuzi
3bb2b0403d04401fddf207b42c67abc3.jpg
Mkuu

Hilo dude halitengenezi Hasara Kwa mwenyenalo.. Limepigwa codes ambazo halileti Hasara... Yan kama useme Labda Kila zikitumbukia token za laki basi licheue ef 40...means Kila laki yenu lenyew linacheua 40 kwa mkupuo...
 
Back
Top Bottom