Negative 1
Senior Member
- Aug 26, 2013
- 133
- 4
Mimi ni teacher tena mzur tu, sijui nianzie wapi na niishie wapi ili nifanikiwe kuhama wilaya na mkoa nilipo kwa uhamisho wa kawaida. Na tamisemi inasemekana ndo ofisi husika. Nisaidieni mawazo hasa km sjapata mwl wa kubadilishana naye.
Nipo morogoro nataka kuhamia songea
Mimi ni teacher tena mzur tu, sijui nianzie wapi na niishie wapi ili nifanikiwe kuhama wilaya na mkoa nilipo kwa uhamisho wa kawaida. Na tamisemi inasemekana ndo ofisi husika. Nisaidieni mawazo hasa km sjapata mwl wa kubadilishana naye.
sasa vigezo vya kuhama ni hivi.
uwe na cheti cha ndoa kama umeoa au kuolewa, au uwe na sababu ya msing mf...ugonjwa(vyet) kuonesha kweli unaumwa, baada ya hapo andika barua kwa mkurugenz unaetaka kwenda k.k mkurugenz ulipo k.k afisa elim wako k.k mkuu wa shule wako.wakikupitishia hao hapo kwako kule hamna tatizo.
Level gani