Kwa anayejua: Kwanini GPA zinakuwa TRUNCATED,na siyo estimated?

Kwa anayejua: Kwanini GPA zinakuwa TRUNCATED,na siyo estimated?

Gonzaga Ngonyani

Senior Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
157
Reaction score
92
Hili huwa haliishi kunishangaza!
Mfano,Upper second ni 3.5-4.3,sasa mtu akipata GPA 3.4998,nilitegemea itakuwa 3.5,lakini badala yake inakuwa 3.4[truncation]!
Kwanini Universities ziliamua kufanya hivi?
 
Nakumbuka kuna kipindi nliwekewa 3.47!!! Nadhan ni system tu ya chuo...weng wanakadiriaga kwenye viwango viwili vya desimali....unaweza pata 4.389 ukawekewa 4.39..inategemea na chuo!!
 
4.39 nikakosa first class. Hakuna estimation ndugu, hiyo truncation imetuathiri wengi lakini inaleta hamasa ya kula msuli sana. Komaa upate unachokihitaji kama Ni mwanafunzi.
 
Hili huwa haliishi kunishangaza!
Mfano,Upper second ni 3.5-4.3,sasa mtu akipata GPA 3.4998,nilitegemea itakuwa 3.5,lakini badala yake inakuwa 3.4[truncation]!
Kwanini Universities ziliamua kufanya hivi?

In absolute terms they are truncating because, they are certainly sure that your GPA is 3.4 but they can not say with certainty that it is 3.5
 
Kwa sababu round up or down inafanya makadirio truncation ni kitu chako halisi
 
Back
Top Bottom