Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau,kama kuna mtu anaejua askari wa uhamiaji wanalipwa kias gan kwa mwezi anijuze tafadhali.
najua utakuwa unauliza hili kwasababu umeshaona wafanyakazi wa migration wana maisha BORA.
Mishahara yao ni ya kawaida kabisa kama idara nyengine za serikali. Kinachowaweka mjini kununua magari mazuri kila siku, kujenga manyumba kila mji, ni MRADI WA SERIKALi(rushwa). Wanapiga rushwa ndefu sana.
Itategemea unaingia kwa sifa zipi, wapo maafisa wataalamu (wengi huwa ni wenye stashahada, shahada na kuendelea) hawa huangukia katika kundi la kukaribia kilo nne, ukiingia kama askari (idara hii iko ndani ya wizara ya mambo ya ndani/usalama wa raia) mshahara wake ni kama askari polisi, naimani wapo walio na habari zaidi watakuja kukueleza
hyo ndo take home au?
kwa hiyo me siwezi pata huko mkuu?