Kwa anayejua mishahara ya idara ya uhamiaji anijuze

Kwa anayejua mishahara ya idara ya uhamiaji anijuze

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Wadau,kama kuna mtu anaejua askari wa uhamiaji wanalipwa kias gan kwa mwezi anijuze tafadhali.
 
Wadau,kama kuna mtu anaejua askari wa uhamiaji wanalipwa kias gan kwa mwezi anijuze tafadhali.

najua utakuwa unauliza hili kwasababu umeshaona wafanyakazi wa migration wana maisha BORA.
Mishahara yao ni ya kawaida kabisa kama idara nyengine za serikali. Kinachowaweka mjini kununua magari mazuri kila siku, kujenga manyumba kila mji, ni MRADI WA SERIKALi(rushwa). Wanapiga rushwa ndefu sana.
 
ila ningependa nijue wanalipwa bei gan ndugu yangu.
 
Itategemea unaingia kwa sifa zipi, wapo maafisa wataalamu (wengi huwa ni wenye stashahada, shahada na kuendelea) hawa huangukia katika kundi la kukaribia kilo nne, ukiingia kama askari (idara hii iko ndani ya wizara ya mambo ya ndani/usalama wa raia) mshahara wake ni kama askari polisi, naimani wapo walio na habari zaidi watakuja kukueleza
 
asante,nimekusoma mkuu!!
 
Kule mishahara ni ya mafungu kama kawaida ila kama ukipangwa boda la maana, utabangua dengu (rushwa) mpk mama mkwe wako akutamani kwa mapato. Ila usituchuze bana, mtoto wa mkulima apewe na nani kazi ya uaskari, labda wa Knight Support kwenye mshahara wa laki 1 basic
 
kwa hiyo me siwezi pata huko mkuu?
 
kwa hiyo me siwezi pata huko mkuu?

mishahara ni ya kawaida tu,aliyeajiriwa kwa cheti cha form iv kuanzia laki mbili na thelathini,form vi,kuanzia 270000-330000 na diploma bado hawajaanza kuiweka kwenye skeli yao ya ulipwaji mishahara,advanced diploma na graduate mwenye digrii 1 anaanzia laki tano na elfu moja kwa sasa.nimekwambia kitu halisi.ukitaka nikudavulie zaidi nipm.
 
natafuta kazi za kwenye mashirika ya simu anayejua kama zimetoka nafasi tafadhali anijuze mwananchi mwenzenu. nina diploma ya marketing na public relation.
 
Pole sana Senator so kumbe unatafuta kazi sasa. Nakuonea huruma mdogo wangu kwa maana mchakato wa utafutaji hauangalii umesoma wapi. Yule ni Pharao asiyemjua Joseph. Waajiri hawangalii umesoma UDSM, Makerere, Birmigham au Manchester. Ndipo utakapo washangaa wenzako wanapata kazi hasa wale ambao hukuwategemea kama vile wa Mzumbe. Arguments zako siku zote za kuponda vyuo vingine zaidi ya UDSM na SUA utazifanyia sala ya toba. Utagundua pia kumbe hazikuwa za kweli, lkn utakuwa ni wakati wa majuto ni mjukuu.

Lakini usijali dogo utaenda Uhamiaji ndipo utakapo pelekwa mafunzo pamoja na form six leavers. Kama ukiota kwenda Airport basi unaweza ukapangwa Mwanza au Tabora kwa maana zote zinawahitaji. Vingenevyo mipaka ni mingi sana na huko ndiko Rushwa itakapo kuwa mkate wako wa kila siku. Poor Senator, Poor Senator. Usijali utapata kazi mdogo wangu.
 
Back
Top Bottom