Kwa anayejua posho na nauli kwa Walimu wapya

chopp

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
220
Reaction score
41
jaman mtujuze posho na nauli kwa walimu wapya ni bei gani na hutoka kwa mda gani na mshahara hutoka kwa mda gani
 
Nauli ni 400,posho ni jero.
 
Posho kwa mwalimu wa grade III,
Manispaa na majiji rate ni 45,000/-
Makao makuu ya wilaya ambako ndiko wengi mta-report ni 30,000/- Vijijiini ni 25,000/-

posho hii mtalipwa ya siku 7, kuna waraka nadhani ulitengua ule wa kulipwa siku 14.

Nauli pia mtalipwa kulingana na umbali (km) kutoka ulikotoka hadi desination area,
kiasix1.5 tonexkm
1000x1.5toonesxkm hy kuna wasiwasi maana kuna wakati serikali ilihoji iweje tu anae enda ku-report kazini awe na furushi la mizigo ya tone hizo?

kikubwa ni kupambana!
kila la heri....
 
jaman mtujuze posho na nauli kwa walimu wapya ni bei gani na hutoka kwa mda gani na mshahara hutoka kwa m

Hongera watumishi wa umma, safari imeanza
 
Your the best Twilumba love you.
Thank you.
 
Last edited by a moderator:

Ingia kwenye attachment mkuu, taarifa hii ni ya muhimu ati!
 
hii kwa walimu wote wa shule za secondary na shule za msingi hapo bado cjaelewa wadau
 
Yeah nashangilia unachokiona wewe ni umasikini lakini kwangu ni utajiri. Tunatofautiana maisha mkuu Nchaby

Kk serikali hailipi pesa ya mizigo kwa waalim wanaoanza kaz kama huamin tafuta mwl aliyejiriwa mwaka jana umuulize ila nauli na pesa ya kujikim ya siku 7 utapewa kwa shahada 45000 per day,kwa diploma na grade a 35000 per day kwa siku 7
 
Last edited by a moderator:
Kikwazo cha kuchelewa kwa ajira zetu ni serikal imefulia na hiki kitu kinachoitwa bunge la katiba kimekomba mahela kibao
 
Kk serikali hailipi pesa ya mizigo kwa waalim wanaoanza kaz kama huamin tafuta mwl aliyejiriwa mwaka jana umuulize ila nauli na pesa ya kujikim ya siku 7 utapewa kwa shahada 45000 per day,kwa diploma na grade a 35000 per day kwa siku 7

Tatizo litakalo jitokeza ni mda wa hizo pesa kutoka, sijui lakini maana wamesema mwaka huu wamejiandaa.
 
jaman mtujuze posho na nauli kwa walimu wapya ni bei gani na hutoka kwa mda gani na mshahara hutoka kwa mda gani

6000/ kwa siku (DEGREE),4000/- kwa siku (DIPLOMA),2500- kwa siku (CERTIFICATE)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…