Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nauli ni 400,posho ni jero.
jaman mtujuze posho na nauli kwa walimu wapya ni bei gani na hutoka kwa mda gani na mshahara hutoka kwa m
Hongera watumishi wa umma, safari imeanza
Posho kwa mwalimu wa grade III,
Manispaa na majiji rate ni 45,000/-
Makao makuu ya wilaya ambako ndiko wengi mta-report ni 30,000/- Vijijiini ni 25,000/-
posho hii mtalipwa ya siku 7, kuna waraka nadhani ulitengua ule wa kulipwa siku 14.
Nauli pia mtalipwa kulingana na umbali (km) kutoka ulikotoka hadi desination area,
kiasix1.5 tonexkm
1000x1.5toonesxkm hy kuna wasiwasi maana kuna wakati serikali ilihoji iweje tu anae enda ku-report kazini awe na furushi la mizigo ya tone hizo?
kikubwa ni kupambana!
kila la heri....
Issue hii ilishajadiliwa na mwanzilishi alikuwa Munkari hapa jukwani, but usifadhaike naamini kabisa eneo ulilopo kuna walimu wazoefu wa kudumu waombe wakupe waraka/jedwali la madai, mafao, na mishahara mipya, mie ninao but upo pdf format nimeshindwa kuupload hapa
Yeah nashangilia unachokiona wewe ni umasikini lakini kwangu ni utajiri. Tunatofautiana maisha mkuu Nchaby
Kk serikali hailipi pesa ya mizigo kwa waalim wanaoanza kaz kama huamin tafuta mwl aliyejiriwa mwaka jana umuulize ila nauli na pesa ya kujikim ya siku 7 utapewa kwa shahada 45000 per day,kwa diploma na grade a 35000 per day kwa siku 7
Kikwazo cha kuchelewa kwa ajira zetu ni serikal imefulia na hiki kitu kinachoitwa bunge la katiba kimekomba mahela kibao
jaman mtujuze posho na nauli kwa walimu wapya ni bei gani na hutoka kwa mda gani na mshahara hutoka kwa mda gani
6000/ kwa siku (DEGREE),4000/- kwa siku (DIPLOMA),2500- kwa siku (CERTIFICATE)
Jamani mtujuze posho na nauli kwa walimu wapya ni kiasi gani na hutoka muda gani pia mshahara hutoka kwa muda gani
6000/ kwa siku (DEGREE),4000/- kwa siku (DIPLOMA),2500- kwa siku (CERTIFICATE)