Kwa anayejua taratibu za kuomba kazi kwenye hii kampuni ya gard security world

Muddy123

Member
Joined
Nov 6, 2022
Posts
25
Reaction score
16
Ndugu zangu kwa anaejua Taratibu zakuomba kazi kwnye hii kampuni ya GARD SECURITY WORLD mana nimengalia mtandaoni naona kingereza kingi sana afu nchi nyingi nimeshindwa kuelewa, Naomba msaada 0693206150
 
'Kiingereza Kingi Sana'....! Hicho 'Kinge' ndo hujakielewa?

Sasa Fanya hivi....Liweke hapa Hilo Tangazo lao Watu Wakutafsirie..!

Duniani kusaidiana Bwana..!
 
Doh nafkiri hujaelewa vzr inshu kubwa nikujua utaratubu wakufikisha maombi kwny office zao kwa anaejua anifahamishe ago mengne ya kingereza ni uchagishaji tu wa habari
 
Ndugu zangu kwa anaejua Taratibu zakuomba kazi kwnye hii kampuni ya GARD SECURITY WORLD mana nimengalia mtandaoni naona kingereza kingi sana afu nchi nyingi nimeshindwa kuelewa, Naomba msaada 0693206150
Tumia google translation,utaelewa tafsiri za kila kitu
 
Doh nafkiri hujaelewa vzr inshu kubwa nikujua utaratubu wakufikisha maombi kwny office zao kwa anaejua anifahamishe ago mengne ya kingereza ni uchagishaji tu wa habari
kituo cha mwinyi -mikocheni karibu na palm village .wanapokea maombi siku ya alhamisi na ijumaa muda ni sambili asubuhi ndio muda wa kupokea maombi. Wakiona unafaa training ni wiki mbili then nikuzama mzigoni .
 
Hii kampuni inaitwa GARDAWORLD na si GARD SECURITY WORLD kwa hapa tanzania makao makuu yapo Dar es salaam mikocheni wana office mbili kituo kwa mwinyi na kwa warioba maombi ni siku ya alhamisi na ijumaa upatikanaji wa kazi vigezo na mashart huzingatiwa ikiwemo urefu.
Karibu msakatonge mwenzangu kwenye ujenzi wa taifa
 
Check hiyo anuani,
Haya kapambane kutafuta ugari
 
Attachments

  • Screenshot_20221108-123739_2.jpg
    Screenshot_20221108-123739_2.jpg
    77 KB · Views: 27
kituo cha mwinyi -mikocheni karibu na palm village .wanapokea maombi siku ya alhamisi na ijumaa muda ni sambili asubuhi ndio muda wa kupokea maombi. Wakiona unafaa training ni wiki mbili then nikuzama mzigoni nas

kituo cha mwinyi -mikocheni karibu na palm village .wanapokea maombi siku ya alhamisi na ijumaa muda ni sambili asubuhi ndio muda wa kupokea maombi. Wakiona unafaa training ni wiki mbili then nikuzama mzigoni .
Owk naskia wanahitaji sana Cheti cha Darasa la Saba , sasa inshu Cheti cha Darasa la saba sina apo inakuaje kiongozi
 
Hii kampuni inaitwa GARDAWORLD na si GARD SECURITY WORLD kwa hapa tanzania makao makuu yapo Dar es salaam mikocheni wana office mbili kituo kwa mwinyi na kwa warioba maombi ni siku ya alhamisi na ijumaa upatikanaji wa kazi vigezo na mashart huzingatiwa ikiwemo urefu.
Karibu msakatonge mwenzangu kwenye ujenzi wa taifa
Owk Naskia wanahitaji sana Cheti cha Darasa la saba ,sasa apo ndio inshu kwangu mana sina Cheti cha Darasa la saba nafanyaje apo kiongozi...?
 
Wana lipa shingap au ndo wale wa 150k kwa mwezi
 
Hii kampuni inaitwa GARDAWORLD na si GARD SECURITY WORLD kwa hapa tanzania makao makuu yapo Dar es salaam mikocheni wana office mbili kituo kwa mwinyi na kwa warioba maombi ni siku ya alhamisi na ijumaa upatikanaji wa kazi vigezo na mashart huzingatiwa ikiwemo urefu.
Karibu msakatonge mwenzangu kwenye ujenzi wa taifa
Zamani ikiitwa KK Security... KenyaKazi Security
 
kituo cha mwinyi -mikocheni karibu na palm village .wanapokea maombi siku ya alhamisi na ijumaa muda ni sambili asubuhi ndio muda wa kupokea maombi. Wakiona unafaa training ni wiki mbili then nikuzama mzigoni .
Vipi kuhusu gharama za may be sare na vitu kama hivyo? Ni juu yao au?
 
Back
Top Bottom