Mnyuke Jr
JF-Expert Member
- Jul 3, 2021
- 4,472
- 6,391
Kila kitu ni juu yao,salary ni over 250K na inatofautiana kutokana na malindo coz malindo mengine mteja anaongeza bonuses unapokea hadi 300K au 350KVipi kuhusu gharama za may be sare na vitu kama hivyo? Ni juu yao au?