ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kuna rafiki yangu fulani amenithibitishia kuhusu ndugu yake aliyepona VVU baada ta kunywa dawa ipo kama chai alienda magomeni ama clinic yake kwa dokta anaitwa tr msigwa hata youtube video zake zipo anajinasibu anatibu ukimwi na magonjwa mengine.Binafsi mimi nina mashaka kwani tumefundishwa na wanasayansi kuwa virusi hivo havina matibabu..kwa kuwa jf ni jukwaa la watu wengi bila shaka watakuwepo wenye kujua habari za dokta huyo.