Kwa anayejua ukweli wa dokta msigwa anayetibu ukimwi

Kwa anayejua ukweli wa dokta msigwa anayetibu ukimwi

Na wanajua after a prolonged use of ARVs viral load ita drop to an un-detectable level..so ukinywa iyo dawa yao ukakimbilia kwenda kupima wakat huo umepiga ARV miaka 15 lazima uingie kwenye mtego wao..
 
Mi nachokushauri zingatia mazoezi kula kwa muda zingatia matunda kunywa dawa kwa wakati , vinginevyo utaenda kupewa chai ya rangi isiyo na sukari uambiwe ni dawa kama alivyofanya babu wa loliondo
Hahaha
 
Umeme Dawa yake lishe nzuri


Mimi nimefiwa na Mama wadogo zangu watatu Kwa umeme Ila nilichojifunza kuhusu umeme.

Kukosekana Kwa Lishe nzuri
Kukosekana Kwa lishe nzuri
Ndo kuliwaondoa mapema .


Walianza wakaa nyumbani na Afya zao zikawa Imara Ila waliporudi kijijini hakuna aliyepona wala kusalia .
 
Umeme Dawa yake lishe nzuri


Mimi nimefiwa na Mama mdogo zangu watatu Kwa umeme Ila nilichojifunza kuhusu umeme.

Kukosekana Kwa Lishe nzuri
Kukosekana Kwa lishe nzuri
Ndo kuliwaondoa mapema .


Walianza wakaa nyumbani na Afya zao zikawa Imara Ila waliporudi kijijini hakuna aliyepona wala kusalia .
Hadi mama pole man
 
Fanya mazoezi na kula mlo kamili...epuka ngono zembe....
Usiliwe hela zako buree...
 
Back
Top Bottom